NBC Premier League: Yanga yaifunga 2-0 KMC na kuongoza ligi

Tatizo la uto wakishafunga wanaridhika, badala ya kutoa burudani
 
Eeee si kile cha Kigoma kiko fresh Sana [emoji16][emoji16][emoji16] utopolo bwana mshanunua mechi ndo mnajichekesha
Kwani cha kigoma ndio hiki mkuu? Hiki ndio kile cha ngao ya jamii umesahau mara hii mkuu. Kilichompigia Simba mpira biriani
 
Hayawi Hayawii….

Ni KCMC Vs YANGA uwanja Wa Majimaji Songea. NPL

NI NBC PREMEIRE LIGUE

Je Ni KCMC kuibuka Washindi Au YANGA?

Tuwe hapa Kwa Dakika 90 Kutokea Songea.
Sisi tupo hapa uwanja wa chuo cha Ushirka Moshi, mpira unaenda kwa kasi huku Yanga wakishambuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…