- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
Mkuu,Ahsante mkuu MM,
Ila hilo tangazo nimeanza kuliona katika website ya NBC tangu mwezi May mwaka jana au kabla ya hapo.Sasa sijui ni kuwa hawajapata watu wanaoqualify kwa post hizo au ni 'uzito' wa IT department yao katika kupiga msasa web yao.