NBC (T) Ltd vacancies

NBC (T) Ltd vacancies

Status
Not open for further replies.

Maxence Melo

JF Founder
JF Staff
Joined
Feb 10, 2006
Posts
4,324
Reaction score
13,967
#1 Job Title: Business Bankers
Please note, these positions are targeted to Tanzanian citizens
i236_BusinessBankers.jpg



#2. Job Title: Officers, Credit Collections
Please note, these positions are targeted to Tanzanian citizens
i237_OfficersCreditCollectionsPage1.jpg

i238_OfficersCreditCollectionsPage2.jpg



#3.
Job Title: Branch Managers
Please note, these positions are targeted to Tanzanian citizens
i239_BranchManagers.jpg



#5 For Tanzanians who are abroad:
i234_NBCAbroad.jpg



Graduate Application Form:

CLICK:
DOWNLOAD THE GRADUATE FORM FROM HERE
 
Ahsante mkuu MM,
Ila hilo tangazo nimeanza kuliona katika website ya NBC tangu mwezi May mwaka jana au kabla ya hapo.Sasa sijui ni kuwa hawajapata watu wanaoqualify kwa post hizo au ni 'uzito' wa IT department yao katika kupiga msasa web yao.
 
walioko NBC vipi huko malipo mazuri?

Kima cha chini kiasi gani?

Maanake kuna jamaa wa Citigroup hapo Dar wanalalamika pesa ndogo..yani mshahara kidogo!
 
Ahsante mkuu MM,
Ila hilo tangazo nimeanza kuliona katika website ya NBC tangu mwezi May mwaka jana au kabla ya hapo.Sasa sijui ni kuwa hawajapata watu wanaoqualify kwa post hizo au ni 'uzito' wa IT department yao katika kupiga msasa web yao.
Mkuu,

Nadhani hazijajazwa zote. Nimeambiwa na mtu wa hapo NBC kuwa niziweke tu.
 
wats up with institutions in bongo wanting 7 to 10yrs experience?? (at least 3yrs inaeleweka) ..mtu ambaye ana 10yr experience hana time ya ku move , madeni na majukumu kibao... this is discouraging for young educated individuals.
 
Applicant Details
Surname:
Fore name (s):
Title (Mr./ Mrs./ Miss/Ms): ID/ Passport/ Voter's Number:
Tribe: Date of Birth:
What did you study at University? Current telephone contact:
Date/ year you graduated:
Alternative telephone contact (Family/ Friend):

Wakuu sikuhizi tunaulizana makabila??? nini hasa lengo? nimeikuta kwenye fomu yao!
 
Last edited:
Mh!inamaana that time hamkupata wanaoqualify? au hizo vacancies zipo kila siku?msitutie changa la macho!kwanza hizo experience mnazozitaka duh!!!!
 
Duh! ebwana ee! mbona mnatuzingua wazee hizo Qualifications na experience za Banks zinatisha yaani wanataka mtu mwenye uzoefu wa miaka 7 hadi 10 Hapa si wanataka wazee sasa freshers watafanyakazi wapi.Hebu waajiri waache unyanyasaji
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom