NBC Tanzania tunaomba mtuwekee huduma ya kuweka fedha kupitia simu

NBC Tanzania tunaomba mtuwekee huduma ya kuweka fedha kupitia simu

Joined
Sep 16, 2017
Posts
20
Reaction score
8
Banki ya NBC Tanzania ninaomba muondoe kero hii.

Hatuna haja kutumia ATM kuweka hela kwenye akaunti. Nataka na ni maoni ya wateja wengi kwanini hamuendi kwa kasi. Tunataka tuweke hela kwenye akaunti kwa njia ya simu kama benki zingine zilivyookoa muda wateja wake.

Kutuma hela kwenye akaunti kwa njia hiyo ni mtandao mpana na unaondoa usumbufu mkubwa.
 
Banki ya NBC TANZANIA. Ninaomba muondoe kero hii. Hatuna haja kutumia ATM kuweka hela kwenye akaunti. Nataka na ni maoni ya wateja wengi kwanini hamuendi kwa kasi. Tunataka tuweke hela kwenye akaunti kwa njia ya simu kama benki zingine zilivyo okoa muda wateja wake. Kutuma hela kwenye akaunti kwa njia hiyo ni mtandao mpana na una ondoa usumbufu mkubwa.
Kuweka kwa simu kumeishaanza ila Kwa Tigopesa mkuu
 
Back
Top Bottom