Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
YametimiaKuna kila dalili mwenye Uzi kuukimbia Uzi wake
Ni matesoNafasi ya pili imekuwa na ushindani sana
Yani leo akikaa Azam basi kesho Yanga anapindua meza.
Ni mateso [emoji30][emoji30]Hao hata hiyo nafasi ya tatu naona km wanafaidi sana, inatakiwa hata hapo wachomolewe
Vipi kwa sasaInachoma kama pasi
Mambo ya mwasibu mwenye gundu hayo.😀😀😀😀😀😀😀Cheeeeeiiiiii
HaHhahahahha alionywa mapemaHuu uzi baadae usije ukaukimbia kama ule wa kihasibu
Unaendeleaje na hali mkuuNaona mpambano ni mkali kati ya NYUMA MWIKO FC NA KMC katika kugombea nafasi ya 3 sababu tofauti yao ni alama 2 tu.
Ni matesoInachoma kama pasi
mkuu hali yangu ni sawa na ya mleta thread.Unaendeleaje na hali mkuu
😁Nafasi ya pili imekuwa na ushindani sana
Yani leo akikaa Azam basi kesho Yanga anapindua meza.
Dah!! Mwasibu ni bure kabisa. Yaani mechi mbili tu tayari anashangilia!! 😁Hatimae tumerudi kileleniView attachment 2859858
SAMALEKO SHEKH MKUU_NDUGU YANGU.Naona mpambano ni mkali kati ya NYUMA MWIKO FC NA KMC katika kugombea nafasi ya 3 sababu tofauti yao ni alama 2 tu.