NBCwazindua Mastercard

NBCwazindua Mastercard

Erick_Otieno

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2010
Posts
624
Reaction score
1,023
Je hii Mastercard ya NBC inaweza kutumika kwenye paypal na online payment....?
 
Good...nimesikia amazon na e bay wameiweka Tanzania kwenye nchi zinazofanya fraud na wamesitisha transaction zinazofanyika na kadi za online za Tanzania...kwa hii ya NBC MasterCard inakuaje?
 
Hii umeitoa wapi?
 
Back
Top Bottom