Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe huelewi kinacho endelea,kwa Nini usitulie kabla ya kuharakia ku comment.Wamekuelekeza alafu hutaki kuelewa...
"penye star ni lazima kujazwa "
Wabongo sijui tuna shida gani...?
Attitude hii utafaa kuwa karani?Kwahiyo unafikiri nimekuja kiboyaboya tu.. !??
Unadhani hayo maombi anatuma pekee yake tz nzima....sjaona popote mtu akilalama zaidi ya huyu...wewe huelewi kinacho endelea,kwa Nini usitulie kabla ya kuharakia ku comment.