This is too low kutamka unless uwe ignorant layman usiyeelewa chochote kuhusu software development.Onesha mfano wewe. Ukishindwa tafuta developers ambao wanaweza fanya hio kazi. Msifikiri mambo ni rahisi namna hio
Halafu imenunuliwa kwa billions of moneyCSEntry ni app inayomilikiwa na US census bureau . Haimake sense NBS kutumia app hiyo hiyo kwa ajili ya kuhesabu sensa ya Watanzania.
Kwa Dunia ya sasa, Data is everything. Kuwaruhusu wamarekani wajue data zetu za msingi kabisa inamaanisha wao watatuamulia kila kitu.
NBS mlishindwaje kujiandaa kwa kutengeneza app yenu ndani kipindi Cha miaka 10?
App yenyewe ni rahisi sana kwa programmers wetu hawashindwi kuitengeneza.
Umemjibu vizuriThis is too low kutamka unless uwe ignorant layman usiyeelewa chochote kuhusu software development.
Hizo billions zingeajili mamia ya developers nchini.Halafu imenunuliwa kwa billions of money
Hicho ndio hasa kilichokuwa kinatafutwa, kuna mtu atajenga ghorofa za biashara kupitia hayo manunuziHalafu imenunuliwa kwa billions of money
This is too low kutamka unless uwe ignorant layman usiyeelewa chochote kuhusu software development.
Umemjibu vizuri
Hence proved, ignorant layman.Anza kuonesha mfano wewe. Your Dirty smelling rat [emoji232]
Kampuni/taasisi nyingi duniani iwe za serikali ama binafsi, zinatumia software nyingi tu za kulipia na hufanya kazi vizuri tu na verified& certified kimataifa. Developer's ndio huzirun ikitokea any technical fairule ambazo ni nadra sana kutokea na ni end to end encrypted.mfano ziko kwa ajili ya department tofauti iwe geological dept,warehouse, engineering etc. Hata google ukisearch unazipata ni za kulipia pesa ndefu maana kuna elites waliumiza vichwa. i.e vulcanCSEntry ni app inayomilikiwa na US census bureau . Haimake sense NBS kutumia app hiyo hiyo kwa ajili ya kuhesabu sensa ya Watanzania.
Kwa Dunia ya sasa, Data is everything. Kuwaruhusu wamarekani wajue data zetu za msingi kabisa inamaanisha wao watatuamulia kila kitu.
NBS mlishindwaje kujiandaa kwa kutengeneza app yenu ndani kipindi Cha miaka 10?
App yenyewe ni rahisi sana kwa programmers wetu hawashindwi kuitengeneza.
Na hizo tablet kutoka China ZTE moja ni US dollar 450Hicho ndio hasa kilichokuwa kinatafutwa, kuna mtu atajenga ghorofa za biashara kupitia hayo manunuzi
Taasisi kutumia softwares za kukodi ni jambo zuri kulingana na sensitivity ya data. Ukikodi software data utazokusanya siyo zako maana zipo kwenye server ya mwenye application.Kampuni/taasisi nyingi duniani iwe za serikali ama binafsi, zinatumia software nyingi tu za kulipia na hufanya kazi vizuri tu na verified& certified kimataifa. Developer's ndio huzirun ikitokea any technical fairule ambazo ni nadra sana kutokea na ni end to end encrypted.mfano ziko kwa ajili ya department tofauti iwe geological dept,warehouse, engineering etc. Hata google ukisearch unazipata ni za kulipia pesa ndefu maana kuna elites waliumiza vichwa. i.e vulcan