NBS Mmeshindwaje kutengeneza app yenu ya sensa? Kwa nini mnatumia app ya CSEntry ya USA?

mkushite

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2021
Posts
666
Reaction score
1,619
CSEntry ni app inayomilikiwa na US census bureau . Haimake sense NBS kutumia app hiyo hiyo kwa ajili ya kuhesabu sensa ya Watanzania.

Kwa Dunia ya sasa, Data is everything. Kuwaruhusu wamarekani wajue data zetu za msingi kabisa inamaanisha wao watatuamulia kila kitu.

NBS mlishindwaje kujiandaa kwa kutengeneza app yenu ndani kipindi Cha miaka 10?

App yenyewe ni rahisi sana kwa programmers wetu hawashindwi kuitengeneza.

Onesha mfano wewe. Ukishindwa tafuta developers ambao wanaweza fanya hio kazi. Msifikiri mambo ni rahisi namna hio
 
CSEntry ni app inayomilikiwa na US census bureau . Haimake sense NBS kutumia app hiyo hiyo kwa ajili ya kuhesabu sensa ya Watanzania.

Kwa Dunia ya sasa, Data is everything. Kuwaruhusu wamarekani wajue data zetu za msingi kabisa inamaanisha wao watatuamulia kila kitu.

NBS mlishindwaje kujiandaa kwa kutengeneza app yenu ndani kipindi Cha miaka 10?

App yenyewe ni rahisi sana kwa programmers wetu hawashindwi kuitengeneza.
Halafu imenunuliwa kwa billions of money
 
Kampuni/taasisi nyingi duniani iwe za serikali ama binafsi, zinatumia software nyingi tu za kulipia na hufanya kazi vizuri tu na verified& certified kimataifa. Developer's ndio huzirun ikitokea any technical fairule ambazo ni nadra sana kutokea na ni end to end encrypted.mfano ziko kwa ajili ya department tofauti iwe geological dept,warehouse, engineering etc. Hata google ukisearch unazipata ni za kulipia pesa ndefu maana kuna elites waliumiza vichwa. i.e vulcan
 
Taasisi kutumia softwares za kukodi ni jambo zuri kulingana na sensitivity ya data. Ukikodi software data utazokusanya siyo zako maana zipo kwenye server ya mwenye application.

Zoezi la sensa siyo la kukodi software maana data za sensa ni very sensitive kwa maendeleo na usalama wa nchi.
 
Back
Top Bottom