figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hawa NCCR-MAGEUZI nimewashangaa.. Wamelaaniwa na wameanza kuchanganyikiwa.
Wakati wanaongea na Vyombo vya habari leo, wwamesema kuna Kiongozi wa dini ya Kikristo, na Mwananchi aitwaye Joseph Selasini, walikishambulia chama cha NCCR-MAGEUZI kwamba kwenye Uchaguzi wa 29.10.2025 kilisindikiza wengine.
NCCR-MAGEUZI wamesema CHADEMA ndo ilihamasisha machafuko uchaguzi wa 29.10.2025 ili kutimiza agano lao na Bendera yao nyekundu.
NCCR-MAGEUZI mageuzi wamesena kutokana na Ubora wa Viongozi wa NCCR-MAGEUZI, Samia Suluhu Hasaan alimteua Dk. Eveline Wilbard Munisi kuwa Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, huku akiwa ni Katibu Mkuu wa chama cha siasa cha NCCR-Mageuzi.
Kwamba Samia wamempongeza kwa kutokuwa mbaguzi.
MY TAKE
Njaa ndani ya NCCR-MAGEUZI ni kali sana.. Soon wataondoka na roho ya mtu. Laana ya kushiriki mauaji ya 29.10.2025 haitamuacha mtu yoyote aliyeambatana na muuaji kutoka Zanzibar