figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Huu ndio utanzania aliotuachia Nyerere. LISSU kila mtu hafai, hajui, hawezi ispokuwa yeye tu basi. Anapinga kiila kituVyama shikizi vya CCM.
Hao hata wanayoyaongea wao wenyewe hawayaamini.
Hawa NCCR-MAGEUZI nimewashangaa.. Wamelaaniwa na wameanza kuchanganyikiwa.
Wakati wanaongea na Vyombo vya habari leo, wwamesema kuna Kiongozi wa dini ya Kikristo, na Mwananchi aitwaye Joseph Selasini, walikishambulia chama cha NCCR-MAGEUZI kwamba kwenye Uchaguzi wa 29.10.2025 kilisindikiza wengine.
NCCR-MAGEUZI wamesema CHADEMA ndo ilihamasisha machafuko uchaguzi wa 29.10.2025 ili kutimiza agano lao na Bendera yao nyekundu.
NCCR-MAGEUZI mageuzi wamesena kutokana na Ubora wa Viongozi wa NCCR-MAGEUZI, Samia Suluhu Hasaan alimteua Dk. Eveline Wilbard Munisi kuwa Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, huku akiwa ni Katibu Mkuu wa chama cha siasa cha NCCR-Mageuzi.
Kwamba Samia wamempongeza kwa kutokuwa mbaguzi.
MY TAKE
Njaa ndani ya NCCR-MAGEUZI ni kali sana.. Soon wataondoka na roho ya mtu. Laana ya kushiriki mauaji ya 29.10.2025 haitamuacha mtu yoyote aliyeambatana na muuaji kutoka Zanzibar
View attachment 3674059
Wana njaa sana kama yule mwenyekiti wai wa saa hivi mzee lyino anaekaa bonyokwq ndio kabisaa tangu kupindi ateuliwe na kikwete kwenye ile tume ya rasim ya katiba na mchakato ukaisha kwa sasa anaisoma namba mno😃Hawa NCCR-MAGEUZI nimewashangaa.. Wamelaaniwa na wameanza kuchanganyikiwa.
Wakati wanaongea na Vyombo vya habari leo, wwamesema kuna Kiongozi wa dini ya Kikristo, na Mwananchi aitwaye Joseph Selasini, walikishambulia chama cha NCCR-MAGEUZI kwamba kwenye Uchaguzi wa 29.10.2025 kilisindikiza wengine.
NCCR-MAGEUZI wamesema CHADEMA ndo ilihamasisha machafuko uchaguzi wa 29.10.2025 ili kutimiza agano lao na Bendera yao nyekundu.
NCCR-MAGEUZI mageuzi wamesena kutokana na Ubora wa Viongozi wa NCCR-MAGEUZI, Samia Suluhu Hasaan alimteua Dk. Eveline Wilbard Munisi kuwa Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, huku akiwa ni Katibu Mkuu wa chama cha siasa cha NCCR-Mageuzi.
Kwamba Samia wamempongeza kwa kutokuwa mbaguzi.
MY TAKE
Njaa ndani ya NCCR-MAGEUZI ni kali sana.. Soon wataondoka na roho ya mtu. Laana ya kushiriki mauaji ya 29.10.2025 haitamuacha mtu yoyote aliyeambatana na muuaji kutoka Zanzibar
View attachment 3674059
Sasa ndio najua JPM alikuwa geneous. Alikuwa na akili nyingi kufungia vyama vyoote kolokoloni ili apate muda wa kuhangaikia shida za wananchi.Vyama vya mfukoni hivyo polepole alisha sema kitambo
Iweke vizuri, HUU NDIO UJINGA ALIOTUACHIA NYERERE.Huu ndio utanzania aliotuachia Nyerere. LISSU kila mtu hafai, hajui, hawezi ispokuwa yeye tu basi. Anapinga kiila kitu
Nccr-mageuzi wako sahihi 100%🐒Hawa NCCR-MAGEUZI nimewashangaa.. Wamelaaniwa na wameanza kuchanganyikiwa.
Wakati wanaongea na Vyombo vya habari leo, wwamesema kuna Kiongozi wa dini ya Kikristo, na Mwananchi aitwaye Joseph Selasini, walikishambulia chama cha NCCR-MAGEUZI kwamba kwenye Uchaguzi wa 29.10.2025 kilisindikiza wengine.
NCCR-MAGEUZI wamesema CHADEMA ndo ilihamasisha machafuko uchaguzi wa 29.10.2025 ili kutimiza agano lao na Bendera yao nyekundu.
NCCR-MAGEUZI mageuzi wamesena kutokana na Ubora wa Viongozi wa NCCR-MAGEUZI, Samia Suluhu Hasaan alimteua Dk. Eveline Wilbard Munisi kuwa Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, huku akiwa ni Katibu Mkuu wa chama cha siasa cha NCCR-Mageuzi.
Kwamba Samia wamempongeza kwa kutokuwa mbaguzi.
MY TAKE
Njaa ndani ya NCCR-MAGEUZI ni kali sana.. Soon wataondoka na roho ya mtu. Laana ya kushiriki mauaji ya 29.10.2025 haitamuacha mtu yoyote aliyeambatana na muuaji kutoka Zanzibar
View attachment 3674059
Huo ndio ukweli chadema inafaa kufutwa kabisaHawa NCCR-MAGEUZI nimewashangaa.. Wamelaaniwa na wameanza kuchanganyikiwa.
Wakati wanaongea na Vyombo vya habari leo, wwamesema kuna Kiongozi wa dini ya Kikristo, na Mwananchi aitwaye Joseph Selasini, walikishambulia chama cha NCCR-MAGEUZI kwamba kwenye Uchaguzi wa 29.10.2025 kilisindikiza wengine.
NCCR-MAGEUZI wamesema CHADEMA ndo ilihamasisha machafuko uchaguzi wa 29.10.2025 ili kutimiza agano lao na Bendera yao nyekundu.
NCCR-MAGEUZI mageuzi wamesena kutokana na Ubora wa Viongozi wa NCCR-MAGEUZI, Samia Suluhu Hasaan alimteua Dk. Eveline Wilbard Munisi kuwa Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, huku akiwa ni Katibu Mkuu wa chama cha siasa cha NCCR-Mageuzi.
Kwamba Samia wamempongeza kwa kutokuwa mbaguzi.
MY TAKE
Njaa ndani ya NCCR-MAGEUZI ni kali sana.. Soon wataondoka na roho ya mtu. Laana ya kushiriki mauaji ya 29.10.2025 haitamuacha mtu yoyote aliyeambatana na muuaji kutoka Zanzibar
View attachment 3674059
Ukiona mtu anamudu kuwa Naibu Waziri na Katibu Mkuu wa chama cha siasa ujue chama chake kimebaki jina tu. Ukatibu mkuu wa chama kinachomaanisha hauwezekani kufanywa kuwa part-time job!Hawa NCCR-MAGEUZI nimewashangaa.. Wamelaaniwa na wameanza kuchanganyikiwa.
Wakati wanaongea na Vyombo vya habari leo, wwamesema kuna Kiongozi wa dini ya Kikristo, na Mwananchi aitwaye Joseph Selasini, walikishambulia chama cha NCCR-MAGEUZI kwamba kwenye Uchaguzi wa 29.10.2025 kilisindikiza wengine.
NCCR-MAGEUZI wamesema CHADEMA ndo ilihamasisha machafuko uchaguzi wa 29.10.2025 ili kutimiza agano lao na Bendera yao nyekundu.
NCCR-MAGEUZI mageuzi wamesena kutokana na Ubora wa Viongozi wa NCCR-MAGEUZI, Samia Suluhu Hasaan alimteua Dk. Eveline Wilbard Munisi kuwa Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, huku akiwa ni Katibu Mkuu wa chama cha siasa cha NCCR-Mageuzi.
Kwamba Samia wamempongeza kwa kutokuwa mbaguzi.
MY TAKE
Njaa ndani ya NCCR-MAGEUZI ni kali sana.. Soon wataondoka na roho ya mtu. Laana ya kushiriki mauaji ya 29.10.2025 haitamuacha mtu yoyote aliyeambatana na muuaji kutoka Zanzibar
View attachment 3674059
Hii mada imekuziddi uwezo wa akili yako. Nenda chitchat huko.. Unatapika matusiHuyu juha ameleta huu upuuzi km mada hapa kuwapa mileage waganga njaa wa nccr..anajua hiki ni chama shikizi hakina impact yoyote kwa sasa..lkn lengo lake ni kuyapa attention waliyosema dhidi ya chadema..mpumbavu kabisa!