Aliyekuwa Katibu wa NCCR-Mageuzi Jimbo la Kawe na mgombea wa Udiwani kata ya Mbweni ndugu Juma Anthony Ndaigwa amesimamishwa uanachama na kuvuliwa nyadhifa zake zote ndani ya chama kuanzia sasa.
Katika vyama vilivyopoteza swaga na ushawishi kabisa hapa Tanzania basi NCCR na CUF ndio mfano. Yaani toka vilivyoanza kuwasaliti watanzania kwa kuunga mkono CCM, watu wamevidharau kabisa.
Hiyo taarifa ya NCCR wala haistahili kuwa breaking news ,NCCR imepoteza mvuto hiyo ni matumizi mabaya ya breaking news mnastahili kukamatwa kutoa taarifa kama hiyo, ilitakiwa mtoe kwenye vijiwe vya kahawa