Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Kwa hiyo wewe msomi utachagua Ccm na Chadema at one time?Sasa sisi vijana wasomi , tunaojitambua unadhani tunaweza kuchagua chama kibovu kama hicho ambacho kimepoteza Nuru , kupigia kura yangu Nccr bora niwapigie ccm
Mbadala wa chadema ni ccm wala sio hizo ...timu zilizokosa viwanja.
Wewe ni boomUmetandaza ukweli mtupu ,gia za angani zilinajisi mabadiliko na hiyo laana haitawaacha salama chadema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi uliishia darasa la ngapi?Kwa hiyo wewe msomi utachagua Ccm na Chadema at one time?
Kwa hiyo wewe msomi utachagua Ccm na Chadema at one time?
Usihangaike nao,wanafungua ID kibao ila wanasahau kiwango chao cha ujinga kiko palepale!Mnatia huruma kama sungura na fisi wa kwenye hadithi tulizosoma Lower Primary School. Mko busy kuunda 'upinzani' wenu.Mkitegemea kutumia refa na washika vibendera 'wenu'. Bado kitambo kidogo tu mtakuja tia huruma zaidi.
Good idea.Kuchagua Nccr bora nichague ccm sababu sioni utafauti hapo
Hawa vijana wasomi wapo wapi?Siasa ni mbinu ...chadema wamewekeza kwa vijana wasomi 70% ccm 25% Act 4.7% Nccr 0.3% chauma 0.00% Tlp 0.00% , Undp 0.00% Namba azidanganyi
Its just matter of time.
Wenyewe hilo haliwahusu bali shida yao ni Prof. Lipumba tu eti kisa alijitenga kumpigia debe Lowassa wa CCM awe rais. Lipumba ndo msaliti na siyo Mbowe aliyebadili gia mawinguni. Sijui kama wana akili sawasawa hawa watu.Umetandaza ukweli mtupu ,gia za angani zilinajisi mabadiliko na hiyo laana haitawaacha salama chadema.
Sent using Jamii Forums mobile app