NCCR Mageuzi, Mwenyekiti Mbatia na Katibu Mkuu Komu ni CHADEMA-B

NCCR Mageuzi, Mwenyekiti Mbatia na Katibu Mkuu Komu ni CHADEMA-B

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hakuna ubishi kwamba ACT Wazalendo ni tawi la CCM na kwa pamoja wako Serikalini

Kadhalika ni wazi kuwa NCCR Mageuzi inayoongozwa na Mwenyekiti James Mbatia akisaidiwa na Katibu Mkuu Komu na Mzee Selasini sasa ni rasmi CHADEMA-B
 
Hakuna ubishi kwamba ACT wazalendo ni tawi la CCM na kwa pamoja wako serikalini

Kadhalika ni wazi kuwa Nccr Mageuzi inayoongozwa na mwenyekiti Mbatia akisaidiwa na KM Komu na mzee Selasini sasa ni rasmi Chadema B
Mkuu. Huoni kwamba hiki chama NCCR ni Cha kihuni.
Viongozi wote uliowataja wanatokea mkoa mmoja halafu wote ni wachaga. Pale juu angebakia mchaga mmoja na wengine wakachagua mmakonde mmoja na wewe ukachukua nafasi moja ili uwashawishi wanyalukolo nao wajiunge.
 
Hakuna ubishi kwamba ACT wazalendo ni tawi la CCM na kwa pamoja wako serikalini

Kadhalika ni wazi kuwa Nccr Mageuzi inayoongozwa na mwenyekiti Mbatia akisaidiwa na KM Komu na mzee Selasini sasa ni rasmi Chadema B
Selasini hapatani na chadema hata kidogo wanamuita msaliti ameish kwa tabu sana alipokua mbunge wa chadema, komu anabifu na wanachadema tangu kifo cha ndesapesa walisema yeye ndiyo kausika kiasi kikubwa kwa kilw kifo, kubenea naye aliitwa sana msaliti, kwahiyo umeongea jambo lisilo na ukweli maana hujui,
Mbatia ni serikali yule hata asikuchanganye kichwa, hawezi msaliti kikwete
 
Mbatia sio TISS tena, now ni Chadema B!, ok, waiting for your next step.
 
Mbatia sio TISS tena, now ni Chadema B!, ok, waiting for your next step.
Mbatia hawezi kuwa chadema yule, ni mpenda madaraka chadema hawawezi kumwelewa.
 
Hakuna ubishi kwamba ACT Wazalendo ni tawi la CCM na kwa pamoja wako Serikalini

Kadhalika ni wazi kuwa NCCR Mageuzi inayoongozwa na Mwenyekiti James Mbatia akisaidiwa na Katibu Mkuu Komu na Mzee Selasini sasa ni rasmi CHADEMA-B
Chadema ni chama cha wajasiriamali wa kaskazini na Tawi lake ni nccr mageuzi ndo maana yanateteana pia act wazalendo ni chama cha mjasiriamali zito na kundi lake la wapemba.mavyama hayo yote hayana lengo la kumkomboa mtanzania ukiyafuatilia kwa karibu.yana agenda iliyojificha hivyo watz bado tuna safari ndefu ya kutafuta chama ambacho kweli kitakuwa na dhamira ya dhati ya kumkomboa.ukiangali vyama vyote vilivyoko nchi hakuna nasema tena hakuna chenye dhamira ya dhati ya kuwatoa watz hapo walipo na kuwapeleka mbele zaidi bali kila chama kina maslahi binafsi ndo maana utaona kila kukicha vyenyewe kwa vyenyewe vinasuguana.kila chama kinataka dola wakati bado mambo muhimu na ya msingi hayajawekwa sawa.nadhani watz tuwe makini sana na hivyo vyama na tuvitathimini kwa umakini badala ya kufuata ushabiki.hivi vyama tusipokuwa makini vitatupeleka pabaya.ukienda kiundani kabisa hivi vyama bila kupepesa macho viko kikanda zaidi na siyo kitaifa pia hivyo vyama vyenyewe kwa vyenyewe haviaminiani sasa iweje watz tuviamini?hata humu ndani kuna makundi yanayoshabikia vyama hicho ndo maana utasoma kuna sukuma gang,msoga gang nk.haya ni makundi ya vyama kinzani yanayojaribu kuwaaminisha watz kuwa hiki ni kibaya na hiki ni kizuri wakati sivyo.mm naamini watz wako smart na wanavifuatilia kwa karibu sana na ndo maana ukifika wakati wa uchaguzi hawafanyi makosa.vijitafakari vinginevyo vitaendelea kuwa pembeni.
 
Hakuna ubishi kwamba ACT Wazalendo ni tawi la CCM na kwa pamoja wako Serikalini

Kadhalika ni wazi kuwa NCCR Mageuzi inayoongozwa na Mwenyekiti James Mbatia akisaidiwa na Katibu Mkuu Komu na Mzee Selasini sasa ni rasmi CHADEMA-B
Wewe ni mtu gani usiyependa kuona upinzani imara Tanzania?! Unafikiri CCM ikibaki bila upinzani imara wewe na familia yako mtakuwa salama? Au unaangalia tu maslahi yako binafsi? Au ni uduni wa akili?
 
Wassira: Afadhali ya G 55
Tuwe na akili na uzalendo watanzania, tunashabikia kila kitu kinachfanywa na serikali halafu hapohapo tunalia shida. Unakuta mtu na akili zake ameamua tu kujitoa ufahamu bila kujali mamilioni ya maskini wanaoteseka kwa sababu ya utendaji mbovu wa serikali.
 
Back
Top Bottom