NCCR Mageuzi, Mwenyekiti Mbatia na Katibu Mkuu Komu ni CHADEMA-B

NCCR Mageuzi, Mwenyekiti Mbatia na Katibu Mkuu Komu ni CHADEMA-B

Tuwe na akili na uzalendo watanzania, tunashabikia kila kitu kinachfanywa na serikali halafu hapohapo tunalia shida. Unakuta mtu na akili zake ameamua tu kujitoa ufahamu bila kujali mamilioni ya maskini wanaoteseka kwa sababu ya utendaji mbovu wa serikali.
Masikini hawawezi kutetewa na bilionea Mbowe na.mdogo wake Zitto Kabwe.

Labda kama wewe umejifunza siasa leo
 
Tatizo lako ni kujitoa ufahamu au maslahi binafsi CCM.
Chadema iliasisiwa na mabwanyemye watupu akina Tuntemeke Sanga Mtei, Ngaiza, Ndesa, Bob Makamu nk

Ndio sababu Mbowe hawezi kuondolewa na makabwela akina Tindo, Salary slip, Mmawia nk
 
Back
Top Bottom