Tuwe na akili na uzalendo watanzania, tunashabikia kila kitu kinachfanywa na serikali halafu hapohapo tunalia shida. Unakuta mtu na akili zake ameamua tu kujitoa ufahamu bila kujali mamilioni ya maskini wanaoteseka kwa sababu ya utendaji mbovu wa serikali.