mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Mama D nadhani ungejikita zaidi na mapishi kwa baba yeyoo kuliko huku kwenye siasa maana siku zote unakuwa hatua 100 nyuma.
Kupika napika vizuri sana kiasi kwamba baba yeyooo hajawahi athirika na comments zangu kama zinavyokuathiri wewe jirani
Hata hizo hatua 100 unasema nimerudi nyuma unaziona wewe kwa kile unachokiamini; labda uniambie nimerudi nyuma kutokea wapi hadi wapi😃
Halafu mimi sio mwanasiasa ila ni mtanzania huru ndani ya taifa lenye siasa zake; sasa wewe kuniambia nisijadili kitu ambacho ni maisha yangu ya kila siku ilhali wewe unakijadili ETI KWA POINT KWAMBA NATAKIWA KUJIKITA KUPIKA ni UKATILI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA