Q Quinine JF-Expert Member Joined Jul 26, 2010 Posts 22,227 Reaction score 49,628 Apr 5, 2022 #1 TCD ni wafanyabiashara wa demkorasia;kama wanaweza kuwarubuni Viongozi wa NCCR kwenda kwenye kikao wakijua chama kimeshatoa msimamo kutoshiriki maana yake wamewafanyisha biashara watu hao ili kutimiza malengo yao"Mwabukusi,Mwansheria wa chama
TCD ni wafanyabiashara wa demkorasia;kama wanaweza kuwarubuni Viongozi wa NCCR kwenda kwenye kikao wakijua chama kimeshatoa msimamo kutoshiriki maana yake wamewafanyisha biashara watu hao ili kutimiza malengo yao"Mwabukusi,Mwansheria wa chama
L Lumwago JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 767 Reaction score 1,140 Apr 5, 2022 #2 Huyo mukandara anataka kuturudisha nyuma awamu tuliyopita. Nadhan wangeweza walipenda wahonge hata wajumbe wa cdm waudhurie.
Huyo mukandara anataka kuturudisha nyuma awamu tuliyopita. Nadhan wangeweza walipenda wahonge hata wajumbe wa cdm waudhurie.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 5, 2022 #3 Mambo yao waachie wenyewe....