NCCR Mageuzi: TCD ni Wafanyabiashara wa Demokrasia

NCCR Mageuzi: TCD ni Wafanyabiashara wa Demokrasia

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
TCD ni wafanyabiashara wa demkorasia;kama wanaweza kuwarubuni Viongozi wa NCCR kwenda kwenye kikao wakijua chama kimeshatoa msimamo kutoshiriki maana yake wamewafanyisha biashara watu hao ili kutimiza malengo yao"Mwabukusi,Mwansheria wa chama
 
Huyo mukandara anataka kuturudisha nyuma awamu tuliyopita. Nadhan wangeweza walipenda wahonge hata wajumbe wa cdm waudhurie.
 
Back
Top Bottom