NCCR-Mageuzi: Wananchi wanataka kujua mahali aliko Rais wao kipenzi

NCCR-Mageuzi: Wananchi wanataka kujua mahali aliko Rais wao kipenzi

Alafu utasikia selikali imeminya uhuru wa demcrasia
 
Amepeperuka kama mkuu wa malaika.

Breaking lini sasa au tusubiri kwanza😷😷😷😷😷😷😷
 
Kwani wao wamemuona wapi raisi wetu mbona wanahangaika saana juuu yake?? Kama wao wanafahamu alipo raisi siwatoe tamko kuwasaidia hao wananchi??
 
Binaadamu ninyi huwa hamna jema, alipofanya press yule Dakitari Mipango mlihoji "kulikuwa na ulazima gani...si angepumzika tu kwanza akae sawa?"
Kwani huyu mmekubali anaumwa? Si mmesema ni mzima anachapa kazi? Sasa mchapakazi asiyeonekana ni jini au?
 
Huyu mama lengo lake ni kutaka watu wajue tu kuwa Chama chao bado kipo. Maana watu tulishasahau kama kuna Chama hapa nchini kiitwacho NCCR Mageuzi!!
Wewe hupend kujua alipo? Au ndio mnanungunikia mioyoni mwenu na mnaogopaa kuhoji
 
Nawashangaa sana wanaoshadadia habari za Rais JPM, hivi hawafahamu hiki ni kipindi cha kwaresma?
Ni wacha Mungu wa kweli?
Katika kipindi hiki kwa mtu mcha Mungu wa kweli aliyefunga kwaresma huku akifanya maombo, kamwe hutomuona wala kumsikia, anaongea na Mungu tu.
Nawaombeni mtulie tumalize mfungu ndio muendelee na porojo zenu hizo.
 
Sawa
 
Hivi zile pampas za wakubwa ukivaa na suti huwa haivimbi
 
Mimi nimemmis sana James Mbatia.. popote alipo ajitokeze, mbona simuoni kwenye ulingo wa siasa wala vyombo habari au huku kwenye social media!?
 
Back
Top Bottom