Uchaguzi 2020 NCCR Mageuzi watikisa Arumeru Mashariki

Yale magari aliyonunuliwa Yuda Iskarioti Mbatia na Mhutu a.k.a Mr Mayanga hamkupewa huko mfanyie kampeni ?
 
Mamayetu tanzania mbona sijamuona hapo.
 
Ni bora Nccr mageuzi sio Wasaliti wa Nchi km kile chama cha ufipa

Yaonyesha wale wa ufipa wamewashika pabaya. Kutwa kucha kuwawaza wao.

Hadi Oct 28 tutasikia mengi kuhusu usaliti.

Hata hivyo hayupo aliye msaliti kuliko anayetupora haki na uhuru wetu. Mkoloni mweusi huyu ni mbaya kuliko shetani mwenyewe!
 
Sawaaa
Hii ni kete ya Turufu ya mama Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…