NCCR-Mageuzi yafanya uchaguzi wa viongozi Kitaifa. Martha Chiomba awa Katibu Mkuu, Anthony Komu awa Naibu Katibu Mkuu Bara

NCCR Mageuzi

Member
Joined
Oct 3, 2007
Posts
23
Reaction score
63
Tarehe 16 Januari, 2021 siku ya Jumamosi chama kilifanya Kikao cha Halmshauri kuu ya Taifa kwenye ukumbi wa msimbazi Center, Jijini Dar es Salaam.

Kikao hicho kilikuwa na ajenda kuu 2

  • Kufanya tathimini ya uchaguzi wa mwaka 2020
  • Kujaza nafasi zilizo wazi ndani ya chama.
Kwa mujibu wa katiba ya chama, ibara ya 29 (5) inaipa haki halmashauri kuu ya Taifa kujaza nafasi za uongozi zilizoachwa wazi ndani ya Chama. Hivyo basi kikao cha halmashauri kuu kimefanya uchaguzi mdogo na kujaza nafasi zifuatazo;

  • Katibu Mkuu Taifa
  • Ndugu Martha Raphael Chiomba
  • Naibu katibu Mkuu Bara
  • Ndugu Anthony Calist Komu

  • Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
  • Ndugu Ameir Mshindani

  • Mweka Hazina wa Taifa
  • Ndugu Susan Peter Maselle
Lakini pia chama kimefanya uchaguzi wa wajumbe sita wa kamati kuu ya chama, wanne kutoka Tanzania Bara na wawili kutoka Zanzibar.

  • Ndugu Mustafa Muro- Bara
  • Ndugu Joyce Mfinanga- Bara
  • Ndugu Boniface Mwabukusi- Bara
  • Ndugu Habiba S. Mohamedi- Bara
  • Ndugu Leila Rajabu-Zanzibar
  • Ndugu Anthony J. Nyoni-Zanzibar

Imetolewa na

Edward Julius Simbeye

Mkuu wa Idara ya Uenezi
WAGENI NCCR_215.JPG
 
Tarehe 16 Januari, 2021 siku ya Jumamosi chama kilifanya Kikao cha Halmshauri kuu ya Taifa kwenye ukumbi wa msimbazi Center, Jijini Dar es Salaam.

Kikao hicho kilikuwa na ajenda kuu 2

  • Kufanya tathimini ya uchaguzi wa mwaka 2020
  • Kujaza nafasi zilizo wazi ndani ya chama.
Kwa mujibu wa katiba ya chama, ibara ya 29 (5) inaipa haki halmashauri kuu ya Taifa kujaza nafasi za uongozi zilizoachwa wazi ndani ya Chama. Hivyo basi kikao cha halmashauri kuu kimefanya uchaguzi mdogo na kujaza nafasi mbalimbali na hatimaye Ndugu Martha Raphael Chiomba kuchaguliwa kushika nafasi ya Katibu Mkuu Taifa nafasi iliyokuwa inaongozwa na wakili Msomi ndugu Elizabeth Mhagama.

Martha Chiomba ni mwanachama hai wa NCCR-Mageuzi ambye katika uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2020 alikuwa mgombea wa kiti cha Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia chama cha NCCR-Mageuzi.

IMG-20200902-WA0027.jpg
 
Hiki chama kilishajifiaga miaka mingi mno toka siku ile kule Tanga baada ya makonde mengi kutembea hadi Mzee Lyatonga kujificha chini ya meza
 
Tarehe 16 Januari, 2021 siku ya Jumamosi chama kilifanya Kikao cha Halmshauri kuu ya Taifa kwenye ukumbi wa msimbazi Center, Jijini Dar es Salaam.

Kikao hicho kilikuwa na ajenda kuu 2

  • Kufanya tathimini ya uchaguzi wa mwaka 2020
  • Kujaza nafasi zilizo wazi ndani ya chama.
Kwa mujibu wa katiba ya chama, ibara ya 29 (5) inaipa haki halmashauri kuu ya Taifa kujaza nafasi za uongozi zilizoachwa wazi ndani ya Chama. Hivyo basi kikao cha halmashauri kuu kimefanya uchaguzi mdogo na kujaza nafasi mbalimbali na hatimaye Ndugu Martha Raphael Chiomba kuchaguliwa kushika nafasi ya Katibu Mkuu Taifa nafasi iliyokuwa inaongozwa na wakili Msomi ndugu Elizabeth Mhagama.

Martha Chiomba ni mwanachama hai wa NCCR-Mageuzi ambye katika uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2020 alikuwa mgombea wa kiti cha Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia chama cha NCCR-Mageuzi.

Sorry to Ask yule mwanamama mrembo Mhagama is it? Alijiuzuru au hakuteuliwa kuendelea na ukatibu mkuu?

Nawapongeza pia kwa gender balance hasa nafasi ya Katibu naona mmeweka tena mwanamama.
 
Nafasi ya mwenyekiti vipi Haigombewi?
Hivi vyama vinavyooongozwa na wachagga tabu tupu. Mbatia alishafanya kila anachoweza, aachie na wengine wajaribu labda chama kitakua ksma anakipenda.
 
Uchagga anaingiaje hapo wewe mbwa?
 
Tawi la CCM, hakuna jipya katika kuleta mageuzi ya kupinga udikiteita wa Jiwe. Kutetea demokrasia...
 
Back
Top Bottom