NCCR Mageuzi yalaani mauaji ya George Floyd wa Marekani

NCCR Mageuzi yalaani mauaji ya George Floyd wa Marekani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa chama kikuu tarajiwa cha upinzani NCCR Mageuzi James Mbatia amelaani vikali mauaji ya Mmarekani mweusi George Floyd akiwa katika mikono salama ya polisi.

Mbatia amemtaka Rais Trump kulishughulikia kwa haki swala hili.

Chanzo: Clouds TV

Maendeleo hayana vyama!
 
Mbatia bna anafikiri Ni Trump tu ndio anashughulikia kila jambo, kwanza approach tu ya Trump kutumia force tayari imesha kupingwa hata na wateule wake Kama Secretary of Defense Mark Esper

Na former Secretary James Mattis

Hao ni Wanajeshi ila tayari wako Against na Mzee

Watu wana nusa nusa na kuona jamaa ku serve for Second ni inshu sana sasa maisha lazima yaendelee yeye tayari ameshaingia kwenye record ya ku lead nchi atalindwa na Kulishwa for the rest of his life
 
Back
Top Bottom