Mbatia bna anafikiri Ni Trump tu ndio anashughulikia kila jambo, kwanza approach tu ya Trump kutumia force tayari imesha kupingwa hata na wateule wake Kama Secretary of Defense Mark Esper
Na former Secretary James Mattis
Hao ni Wanajeshi ila tayari wako Against na Mzee
Watu wana nusa nusa na kuona jamaa ku serve for Second ni inshu sana sasa maisha lazima yaendelee yeye tayari ameshaingia kwenye record ya ku lead nchi atalindwa na Kulishwa for the rest of his life