GE2025 Nchemba: Ulishawawahi kushikana mkono na mtu aliyesaini kwenye noti wewe?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Kiongozi mkubwa kama huyu badala asimame mbele za wananchi na kueleza anawezaje kuboresha maisha ya watanzania anaanza kujisifia kuwa pesa zote wanazotumia watanzania zina saini yake. Sasa hiyo saini yako inawasaidia nini watanzania kupunguza kero zao? Hiyo saini inasaidia nini kuboresha maisha ya watanzania?

Na watanzania walivyo wapumbavu wanafurahia tu alafu wakitoka hapo wanaanza kuhangaika maji hamna, umeme hamna alafu mnaanza kupiga kelele. Tanzania inahitaji ukombozi wa kifra maana ujinga umetaradadi.

Mwalimu Nyerere alisema aliwahi kumuweka mtu lock up kwa kusema serikali yake yote ipo mfukoni mwa mtu huyo. Mwalimu alijiuliza sana kwamba huyo mtu ana mfumo mpana kiasi gani??

Mwisho wa siku Mwalimu akajua tambo za mtu huyo zilitokana na kiburi cha mtu huyo kuhonga watu!!!

Sasa sijui viburi vya wasemaji wa siku hizi vinatokana na nini!!!
 
Kiongozi mkubwa kama huyu badala asimame mbele za wananchi na kueleza anawezaje kuboresha maisha ya watanzania anaanza kujisifia kuwa pesa zote wanazotumia watanzania zina saini yake. Sasa hiyo saini yako inawasaidia nini watanzania kupunguza kero zao? Hiyo saini inasaidia nini kuboresha maisha ya watanzania?

Na watanzania walivyo wapumbavu wanafurahia tu alafu wakitoka hapo wanaanza kuhangaika maji hamna, umeme hamna alafu mnaanza kupiga kelele. Tanzania inahitaji ukombozi wa kifra maana ujinga umetaradadi.

View attachment 3482657
Halafu huyu ndo ati anajipanga kuwa rais wa tanzania baada ya Samia!
 
Huyu jamaa mama alimuweza,ili asimsumbue kwenye urais akaamua kumpa hyo nafas
 
Back
Top Bottom