Nchi 10 bora za Kiafrika kwa wanawake warembo

Nchi 10 bora za Kiafrika kwa wanawake warembo

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Top 10 African countries with most beautiful women.

1.Ethiopia[emoji1098]
2.Eritrea[emoji1096]
3.Somalia[emoji1220]
4.Mali[emoji1159]
5.Rwanda[emoji1206]
6.Ghana[emoji1110]
7.South Africa[emoji1221]
8.Kenya[emoji1139]
9.Nigeria[emoji1184]
10.Uganda[emoji1254]


Sijui ilikuwaje Rick Ross akaangukia kwa Mobeto[emoji4]


IMG_20211201_102856.jpg
 
Top 10 African countries with most beautiful women.

1.Ethiopia[emoji1098]
2.Eritrea[emoji1096]
3.Somalia[emoji1220]
4.Mali[emoji1159]
5.Rwanda[emoji1206]
6.Ghana[emoji1110]
7.South Africa[emoji1221]
8.Kenya[emoji1139]
9.Nigeria[emoji1184]
10.Uganda[emoji1254]


Sijui ilikuwaje Rick Ross akaangukia kwa Mobeto[emoji4]


View attachment 2029200
Uzi tayar..
 
Kwanin usiongeze na neno flan hapo la VVU na UKIMWI mana leo ni siku yake duniani tujadili na hao warembo ktk nchi hizo
 
Kwa tuliowahi kufika nchi hizo, tunakubali kweli Kenya na Uganda wametuzidi kwa Totoz. Mpaka utembee ndo mambo kama haya unayaelewa vzr.
Kwahiyo mwanetu ukaamua utuache solemba kwenye story yako ya south Africa ??
 
We jamaa toa kenya hapo huwezi fananisha manzi kimbulu na virombosi vya kimasai
 
Wanawake wa Uganda wamejaaliwa maumbo ila kwenye muonekano ni wachache, wakenya siwezi waongelea hivyo ni upumbavu kusema wakenya na waganda wanazidi wanawake wa kitz kwa urembo .. itoshe tu kusema aliye leta hiyo list anakatwa na wamakonde
 
Top 10 African countries with most beautiful women.

1.Ethiopia[emoji1098]
2.Eritrea[emoji1096]
3.Somalia[emoji1220]
4.Mali[emoji1159]
5.Rwanda[emoji1206]
6.Ghana[emoji1110]
7.South Africa[emoji1221]
8.Kenya[emoji1139]
9.Nigeria[emoji1184]
10.Uganda[emoji1254]


Sijui ilikuwaje Rick Ross akaangukia kwa Mobeto[emoji4]


View attachment 2029200
Hii lazima wameandaa Wakenya!
 
Sure mkuu , kiukweli sijawahi tembea popote [emoji2][emoji2]ila hata kwenye TV au mitandao ya kijamii kenya pisi ni za kutafuta kwa tochi
 
Kila mtu ana mashaka na wakenya mkuu !! Hata wale wawakilishi wao kwenye TV na michezo tunawaona bhana
 
correction;
[emoji117]ondoa Nigeri
[emoji117]ondoa Uganda
[emoji117]ondoa kenya

:- Then
[emoji117]weka Tz
[emoji117]weka Djbout
[emoji117] weka morocco
[emoji117]weka misri

Tembeeni muone acheni kudanganywa na hayo malist ya wapuuzi wachache...Tz ina waremboo bna, ni vile tu hatuna wasemaji na mastar wa uwakika(diaspora) huko nje wakuifanya nchi yetu ionekane kati ya wanao onekana, Tz ni kama kisiwa chenye utajiri wa kila kitu, lkn hakijulkani, yaan kuna giza tu, wanaishia kujulkana majiran,

kiukwel kwa East afrika Tz inaweza kuwa nchi ya kwanza kwa warembo, maana Tanzania imeconclude makabila mengi na kufanya machotara wa kila sampuli kuwepo tofaut n hizo nchi zngne zenye vujikabila vichache,

uku Tz utawakuta wenye asili za kibantu na mishepu ya hatari, pia wenye asili za machotara kiarabu&kihindi, so huwez fanisha Tz na vitu vyakipuuzi kama Nigeria walikojaa wanawake sampuli ya aina moja, ama wakikuyu wa uko kenya
 
Top 10 African countries with most beautiful women.

1.Ethiopia[emoji1098]
2.Eritrea[emoji1096]
3.Somalia[emoji1220]
4.Mali[emoji1159]
5.Rwanda[emoji1206]
6.Ghana[emoji1110]
7.South Africa[emoji1221]
8.Kenya[emoji1139]
9.Nigeria[emoji1184]
10.Uganda[emoji1254]


Sijui ilikuwaje Rick Ross akaangukia kwa Mobeto[emoji4]


View attachment 2029200
Yani Kenya nayo ipo kwenye hiyo orodha jamani? Huu Uzi ni feki
Hawa wakikuyu na vitambi vyao ndio warembo[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom