Nchi 10 bunifu zaidi Africa - TZ wameshindwa na Malawi

Nchi 10 bunifu zaidi Africa - TZ wameshindwa na Malawi

Kama ubunifu ni pamoja na kulala njaa, heri Tanzania ibaki nje ya orodha
 
hii list iko sahihi kwa asilimia mia moja,kwa nchi ambayo blogger anatakiwa kulipa Kodi ya zaidi ya million 1 ubunifu labda utoke chooni kwenye vinyesi na mende
 
Yaani hata Rwanda, 'mkoa wetu', imeipiku Tanzania.
148i47.jpg
So sad
 
Kuna nchi nyingine kubwa tu hazimo humo km Nigeria, Ethiopia , Egypt kwa hiyo Tanzania kutokuwepo si ajabu
 
Hauwezi ukajua maana nyie magazeti yenu yamekalia umbea tu, hayaandiki mambo yoyote ya muhimu, sasa taifa lote mnaisihia kujadili umbea wa wasanii, mara Diamond ame-cheat Zari....

Una uhakika na unachokiongea. Au maneno yanakutoka kama ushuzi vile, yaani bila kufikiri.
 
Hehehe hii aibu sasa, yaani kutwa kutupigia makelele humu lakini hawatajwi kwa chochote Afrika.

Ahaaa haaa haaa

Hivi kuna aibu kama ya watu wako kufa njaa.
Huyu lazima atakuwa mTanzania.
Teh teh teh tihiii
Siyo mKenya. Maana wenyewe huwa hawaombi.

IMG_2414.jpg
 
Back
Top Bottom