TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
Hao Malawi au wakenya wametuzidi nn hahahahaha...Hehehe hii aibu sasa, yaani kutwa kutupigia makelele humu lakini hawatajwi kwa chochote Afrika.
Of course big things like Sorcery and Poverty...There you lead very well!Hao Malawi au wakenya wametuzidi nn hahahahaha...
Tz is known for big things not this kind of shit
So sadYaani hata Rwanda, 'mkoa wetu', imeipiku Tanzania.
Sijui nani katurithisha hizi roho za ajabu.sisi ubunifu wetu roho mbaya,majungu,kukaziana kijicho kwa kila kitako fanyika au kukwamishana .sijakosea
Hauwezi ukajua maana nyie magazeti yenu yamekalia umbea tu, hayaandiki mambo yoyote ya muhimu, sasa taifa lote mnaisihia kujadili umbea wa wasanii, mara Diamond ame-cheat Zari....
Hehehe hii aibu sasa, yaani kutwa kutupigia makelele humu lakini hawatajwi kwa chochote Afrika.