Nchi 10 za Kiafrika zenye idadi ndogo ya waumini wa dini ya Kikristo kwa mwaka 2024

Nchi 10 za Kiafrika zenye idadi ndogo ya waumini wa dini ya Kikristo kwa mwaka 2024

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Uwepo wa Ukristo barani Afrika unaendelea kuendana na hali za kijamii, kisiasa na kiuchumi za bara hili. Hotuba inayozunguka taasisi ya Kikristo barani Afrika ni ngumu, yenye viwango tofauti vya uungwaji mkono, upinzani, na hali ya kutoelewana. Hata hivyo, Ukristo umekuwa mojawapo ya taasisi kubwa na yenye ushawishi mkubwa zaidi katika bara la Afrika.

========

Christianity's presence in Africa continues to adapt to the continent's dynamic social, political, and economic landscapes. The discourse around the Christian institution in Africa is complex, with varying degrees of support, opposition, and ambivalence. Nonetheless, Christianity has become one of the largest and most influential institutions on the continent.

An AI-generated image of a church ( Chatpot.ai)

According to a report by the BBC, Christianity was introduced to Africa in the first or early second century AD. North Africa has some of the world's oldest Christian communities. Since its introduction, the reception of the Christian faith has been polarizing.​

Some Africans have clung to their traditional religions, others have fully embraced the Christian faith, or decided on Islam, which is another highly influential Abrahamic religion.​

Christian missionaries played a crucial role in literacy by translating the Bible into numerous African languages and establishing educational institutions. This not only facilitated the spread of Christianity but also ensured the education of thousands during the colonial era.

Christianity has since then become a powerful force in Africa, influencing socio-economic and political events in many countries. Governments often engage religious leaders to bolster public support and legitimacy. This intertwining of religion and politics highlights the profound impact of Christianity on African society.​

While religion is a vital aspect of African life, the distribution varies, some nations have predominantly Christian populations, others have more Muslims, and some have a larger proportion of traditionalists.​

Understanding these dynamics offers insight into Africa’s diverse religious landscape, however, below are the 10 African countries with the fewest Christians, as seen in Statista, according to WorldPopulationReview, Pew Research Center, World Atlas, CIA, and Nation Master.
Top 10 African countries with the lowest number of Christians in 2024

RankCountryNumber of Christians
1. Western Sahara 200
2. Somalia 1,000
3. Mauritania 5,000
4. Comoros 15,000
5. Tunisia 30,000
6. Djibouti 53,000
7. Algeria 71,000
8. Gambia 79,000
9. Seychelles 80,000
10. Niger 85,000
 
Naskia Somalia hakuna kanisa,ila sina uhakika.
Katika uislam kuna + tu,hakuna kutoa wala gawanya. Juzi Kati nimeona clip moja kiongozi wa kidini Somalia anatoa hutuba uku analia kwasababu Kuna Takwimu ameiona kuwa Kati ya mwaka 2023 na 2024 Kuna(if I'm not mistaken) 170000 wasomali wamebadili dini.

Anaomba Serikali iingilie Kati. Analaumu NGO za kigeni na serikali kwa ujumla kusababisha hayo yote.
lakini jambo ilo lingelikuwa nikinyume chake meno 34 yote nje.
 
Sio hivyo tu, hata humu jukwaani kuna watu wangeshindana kuanzisha uzi maalum na mayowe kibau.
 
Katika uislam kuna + tu,hakuna kutoa wala gawanya. Juzi Kati nimeona clip moja kiongozi wa kidini Somalia anatoa hutuba uku analia kwasababu Kuna Takwimu ameiona kuwa Kati ya mwaka 2023 na 2024 Kuna(if I'm not mistaken) 170000 wasomali wamebadili dini.

Anaomba Serikali iingilie Kati. Analaumu NGO za kigeni na serikali kwa ujumla kusababisha hayo yote.
lakini jambo ilo lingelikuwa nikinyume chake meno 34 yote nje.
Wadanganye wakristo wenzio tu
 
Kuna yule msomali mhubiri anaitwa hajji sijui aisee husimuliaga wasomali wanavyotesa wakristo huko somalia aisee inasikitisha sana.
Wasomali wamepelekewa Uisilamu katika Karne ya nane walikuwa wakiabudu Jua, Ngombe nk.

Kwahiyo kwa wao kuhamia kwenye Dini ya Ukristo ni uamuzi wao na kama niwajuavyo Wasomali wakiamini wanachoamini patachimbika.😁
 
Back
Top Bottom