Nchi 10 za Kiafrika zenye idadi ndogo ya waumini wa dini ya Kikristo kwa mwaka 2024

Ni nani yupo kizani kati yako na wewe! Wewe ndio umepotea
Unachekesha sana...wewe amini unachokiamini ila usiingilie anachokiamini mtu mwingine. Mungu hana dini, unajifanya muumini wa dini fulani wakati jirani yako analala njaa ila wewe unatupa chakula.
Dini zililetwa ila imani inakuwa kwa mtu mmojammoja.
 
Hakika dini ya kweli mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu

Tafuta kwenye biblia neno ukristo kama utakutananalo, ukristo ni upagani, hivyoo Hakuna sehemu pameandikwa kwenye biblia ukristo ni dini ya kweli.
 
Back
Top Bottom