Nchi 10 za Kiafrika zenye idadi ndogo ya waumini wa dini ya Kikristo kwa mwaka 2024

Mkuu una meno mangapi ?
 
Wapo wengi tu bro ninao wafahamu; yupo dogo mmoja fundi magari; kama kabisa Msomali na kapiga nae copy kadhaa. Siwajui wazazi wa mwanamke but dogo hana uwezo kiviiile, yaani fundi wa kawaida sana
Nasikia Wasomali wanakeketa Wanawake na Wasichana wao, hivi Mwanamke akikeketwa anakuwa Mtamu kama hawa wetu wa Kienyeji?!
 
Paulo kaongea Kalibuni kila kitu ambacho wengine wanaficha kusema.
Wanaruhusia kusema uwongo ili kuitetea Dini.
Ndio maana wanatusumbua humu.
Inaitwa Taqiya.
 
Hii Western Sahara balaa hata mtoto wa buku(500) amegoma
 
Paulo kaongea Kalibuni kila kitu ambacho wengine wanaficha kusema.
Wanaruhusia kusema uwongo ili kuitetea Dini.
Ndio maana wanatusumbua humu.
Inaitwa Taqiya.
Taqiya ina shida gani? kama unaweza kuokoa madhara hakuna shida ndio , maisha ni muhimu kuliko kudanganya
 
Hao watu hawaoani au kuzaliana
 
Kuna mama moja anayeabudu utamaduni wa kiarabu akisoma andiko lako hili presha yake itakuwa inasoma 240/200 na bila shaka atakuwa anapelekwa ICU.
 

Wasomali wengi wanabadili dini hasa mpakani na Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…