Unachekesha sana...wewe amini unachokiamini ila usiingilie anachokiamini mtu mwingine. Mungu hana dini, unajifanya muumini wa dini fulani wakati jirani yako analala njaa ila wewe unatupa chakula.
Dini zililetwa ila imani inakuwa kwa mtu mmojammoja.