Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Hii itakuwa kinyume chake.Wadau ninaleta kwenu orodha ya nchi kumi 10 zenye furaha Afrika kwa mujibu wa jaribu moja la umoja wa mataifa linalojihusisha na mtandao wa maendeleo endelevu duniani Congo wamo naileta orodha
View attachment 2561999
1. MAURITIUS
2. LIBYA
3. IVORY COAST
4. SOUTH AFRICA
5. GAMBIA
6. ALGERIA
7. LIBERIA
8. CONGO
9. MOROCCO
10. MOZAMBIQUE
Hata mimi siamini tz hatumo!Tanzania haipo??
Congo na Mozambique??Wadau ninaleta kwenu orodha ya nchi kumi 10 zenye furaha Afrika kwa mujibu wa jaribu moja la umoja wa mataifa linalojihusisha na mtandao wa maendeleo endelevu duniani Congo wamo naileta orodha
View attachment 2561999
1. MAURITIUS
2. LIBYA
3. IVORY COAST
4. SOUTH AFRICA
5. GAMBIA
6. ALGERIA
7. LIBERIA
8. CONGO
9. MOROCCO
10. MOZAMBIQUE
Additional
Furaha siyo amani na Congo siyo DRCCongo na Mozambique??
Naamini TZ tuko na furaha sana!
Tanzania ipo kwenye 10 duniani zisizo na furahaTanzania haipo??
sio DRC wao wanalia kila siku, Ni Congo Brazzavile ipo karibu na Jamhuri ya Afrika ya KatiKuhusu congo.... ukienda miji kama kinshasa na au Lubumbash huko ni full furana hawachukulii serious kama kuna ndugu zao huku mashasiki hawalali usingizi... vita vipo huku mashariki ya congo kwenye maeneo ya musitu..
Tz kinachotusumbua ni uchumi tu na lifestyle zinazotufanya vichwa vyetu vipate motoHata mimi siamini tz hatumo!
Sisomagi upuuzi km huuWadau ninaleta kwenu orodha ya nchi kumi 10 zenye furaha Afrika kwa mujibu wa jaribu moja la umoja wa mataifa linalojihusisha na mtandao wa maendeleo endelevu duniani Congo wamo naileta orodha
View attachment 2561999
1. MAURITIUS
2. LIBYA
3. IVORY COAST
4. SOUTH AFRICA
5. GAMBIA
6. ALGERIA
7. LIBERIA
8. CONGO
9. MOROCCO
10. MOZAMBIQUE
Additional