Data za mwaka gani?Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa;
1. Afrika Kusini $410.34b
2. Egypt $347.34b
3. Algeria $268.89b
4. Nigeria $188.27b
5. Morocco $165.84b
6. Kenya $131.67b
7. Ethiopia $117.46b
8. Angola $113.34b
9. Côte d'Ivoire $94.48b
10. Ghana $88.33b
11. Tanzania $85.98b
uchumi hajashuka tz, umepanda kwa kasi sema shiling ndo imezingua kwenye kikokotoo..Kuonyesha namna ambavyo serikali yako ya ccm imefeli kusimamia uchumi kutoka nafasi ya kumi hadi ya kumi na moja.
Wewe umelinganisha ya musk na nchi yako,ukionesha kusikitishwa,wewe raia kama musk,net worth yako ngapi!?..una kiwanda cha tooth pick?wewe net worth yako ngapi mkuu?
umeshindwa kujibu swali basi mkuu siku njemaWewe umelinganisha ya musk na nchi yako,ukionesha kusikitishwa,wewe raia kama musk,net worth yako ngapi!?..una kiwanda cha tooth pick?
April 2025Data za mwaka gani?
Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa;
1. Afrika Kusini $410.34b
2. Egypt $347.34b
3. Algeria $268.89b
4. Nigeria $188.27b
5. Morocco $165.84b
6. Kenya $131.67b
7. Ethiopia $117.46b
8. Angola $113.34b
9. Côte d'Ivoire $94.48b
10. Ghana $88.33b
11. Tanzania $85.98b
Ethiopia raia wake wanakimbia daily,Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa;
1. Afrika Kusini $410.34b
2. Egypt $347.34b
3. Algeria $268.89b
4. Nigeria $188.27b
5. Morocco $165.84b
6. Kenya $131.67b
7. Ethiopia $117.46b
8. Angola $113.34b
9. Côte d'Ivoire $94.48b
10. Ghana $88.33b
11. Tanzania $85.98b
No.9 na 10 wametupitaOrodha ya nchi kulingana na pato la taifa;
1. Afrika Kusini $410.34b
2. Egypt $347.34b
3. Algeria $268.89b
4. Nigeria $188.27b
5. Morocco $165.84b
6. Kenya $131.67b
7. Ethiopia $117.46b
8. Angola $113.34b
9. Côte d'Ivoire $94.48b
10. Ghana $88.33b
11. Tanzania $85.98b
Fedha Yao dhidi ya Dola imeporomoka saaaanaHivi inakuwaje gdp ya Nigeria inaporomoka kila uchao?
Mpaka mwaka 2020 gdp Nigeria ilikuwa ni zaidi ya $ 450 bilion lakini ime poromoka mpaka $180bilion ndani ya miaka 4 tu.
Utajiri wanao ila hautoshi kuwahudhmia watu wote walionao,sawa tuu na NigeriaEthiopia raia wake wanakimbia daily,
Sioni hata huo utajiri
Kutoka 70 Hadi 85 sio kuweza? Ukikimbia na wenzako wanakimbia zaidi.Tuliwah kuwa hadi nafasi ya tisa miaka ya karobuni,samia hakuna anachoweza
Hivi Congo ni nchi Masikini na utajiri wote ule?Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa;
Sisi zote hizo tunazo (tuna gesi ambayo ni mbadala wa mafuta na ina thamani sawa na mafuta,tuna dhahabu na migodi mikubwa,tuna cocoa na vanilla pamoja na kilimo kingine.Kutoka 70 Hadi 85 sio kuweza? Ukikimbia na wenzako wanakimbia zaidi.
Ulichonacho na wenzako wanacho zaidi mfano Ghana na Ivory Coast Wana Mafuta,dhahabu na Cocoa
Wenzako wameshaanza uzalishaji wa hizo Mali zao,nyie mumeanza Hadi utake kushindana nao?Sisi zote hizo tunazo (tuna gesi ambayo ni mbadala wa mafuta na ina thamani sawa na mafuta,tuna dhahabu na migodi mikubwa,tuna cocoa na vanilla pamoja na kilimo kingine.
Kikubwa zaidi nchi yetu ni moja ya nchi zenye rasilimali hadimu zaidi duniani,why tunaridhika na umaskini?hili swali hakuna mtu anayeweza kulaumiwa zaidi ya viongozi wetu tu,sio visionary.Malaysia,Thailand,China hizi nchi hazina rushwa viongozi waadilifu hadi raha na ndio maana wametuacha gape kubwa na wakati tulikuwa sawa tu miaka ya 60 View attachment 3536725