Nchi 20 za Afrika zenye upatikanaji wa uhakika wa umeme

dah, kama hii taarifa niyakweli basi Tanzania tuko nyuma sana.
 
Ama kweli Waislamu wako juu..

cheki nchi zao zinavoongoza hapo juu
 
Kumbuka pia South Afrika inazalisha na kutumia zaidi ya 40% ya nishati ya umeme inayotumika kwenye bara lote la Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…