Miaka zaidi ya 100Tuambie na zimebaki siku ngapi Gesi asilia kuisha kabisa kwenye sayari ya dunia
Ha ha ha ndo kauli za mashabiki wa urusi wa chamazi humu jf.Sasa mbona US hatosheki na gesi yake hadi anataka kwenda kuiba Gesi ya Urusi?.
US ilimua Magufuli baada ya kutaka kuachana na Dola.
Jf raha sana.
😂😂Ha ha ha ndo kauli za mashabiki wa urusi wa chamazi humu jf.
Tulilishwa sana matango pori.Hiyo ya kutwambia Marekani anaongoza kwa uzalishaji wa gesi ni uongo, uongo, tu wanajitutumua wasionekane wako nyuma ya Urusi...
zamani tulidanganywa eti Marekani anaweza kupigana miaka kumi na nchi tofauti duniani bila kupumzika na bila kuomba msaada wa mafuta toka taifa lingine.. nyooooko!! kumbe uharo tu kazi yake ni kupora mafuta kwenye tu taifa tudogo kama Iraq na Afghanistan..
Sasa mbona US hatosheki na gesi yake hadi anataka kwenda kuiba Gesi ya Urusi?.
US ilimua Magufuli baada ya kutaka kuachana na Dola.
Jf raha sana.
Hiyo ya kutwambia Marekani anaongoza kwa uzalishaji wa gesi ni uongo, uongo, tu wanajitutumua wasionekane wako nyuma ya Urusi...
zamani tulidanganywa eti Marekani anaweza kupigana miaka kumi na nchi tofauti duniani bila kupumzika na bila kuomba msaada wa mafuta toka taifa lingine.. nyooooko!! kumbe uharo tu kazi yake ni kupora mafuta kwenye tu taifa tudogo kama Iraq na Afghanistan..
Easterners hawatumii akili,wengi wao ni Waislamu, Waliokosa Visa hivyo wanaichukia sana Marekani.Kwa hiyo nani anaongoza kwa uzalishaji wa gesi??Afghanistan hakuna mafuta ya kutosha vibatari vya wachoma mahindi Dar, labda hata ungesema walienda kwanyang'anya Taliban Opium ya kutengeneza Heroin
US anatosheka vizuri sana shida yake hataki kuona nchi yoyote ije iwe world super power Kwa rasilimali yake au Kwa technology ya nchi hiyo husika. Hata Leo Tz tukiwa largest producer wa korosho kiasi Kwamba tukawa na ukwasi mkubwa hata kuleta ushawishi Duniani ushawishi ambao utampa mashaka US basi utaona pia yake mara oooooo korosho iwe inauzwa na kununuliwa Kwa Dola ya US.Sasa mbona US hatosheki na gesi yake hadi anataka kwenda kuiba Gesi ya Urusi?.
US ilimua Magufuli baada ya kutaka kuachana na Dola.
Jf raha sana.
unaongea rumours , tunahitaj ushaidiHiyo ya kutwambia Marekani anaongoza kwa uzalishaji wa gesi ni uongo, uongo, tu wanajitutumua wasionekane wako nyuma ya Urusi...
zamani tulidanganywa eti Marekani anaweza kupigana miaka kumi na nchi tofauti duniani bila kupumzika na bila kuomba msaada wa mafuta toka taifa lingine.. nyooooko!! kumbe uharo tu kazi yake ni kupora mafuta kwenye tu taifa tudogo kama Iraq na Afghanistan..
Ndugu kama hujui jambo unatulia tulii, kuliko kuandika ulichoandikaHiyo ya kutwambia Marekani anaongoza kwa uzalishaji wa gesi ni uongo, uongo, tu wanajitutumua wasionekane wako nyuma ya Urusi...
zamani tulidanganywa eti Marekani anaweza kupigana miaka kumi na nchi tofauti duniani bila kupumzika na bila kuomba msaada wa mafuta toka taifa lingine.. nyooooko!! kumbe uharo tu kazi yake ni kupora mafuta kwenye tu taifa tudogo kama Iraq na Afghanistan..
Hiyo ndoto haitatokea, Ivory Coast anatoa Tani karibu MilioniUS anatosheka vizuri sana shida yake hataki kuona nchi yoyote ije iwe world super power Kwa rasilimali yake au Kwa technology ya nchi hiyo husika. Hata Leo Tz tukiwa largest producer wa korosho kiasi Kwamba tukawa na ukwasi mkubwa hata kuleta ushawishi Duniani ushawishi ambao utampa mashaka US basi utaona pia yake mara oooooo korosho iwe inauzwa na kununuliwa Kwa Dola ya US.
Nimesema ikitokea Kwa mfanoHiyo ndoto haitatokea, Ivory Coast anatoa Tani karibu Milioni
Watu wengine hata kusoma na kuelewa hamuwezi eti mpaka muandikiwe kizigua au kisukuma. Bure kabisa.Hiyo ya kutwambia Marekani anaongoza kwa uzalishaji wa gesi ni uongo, uongo, tu wanajitutumua wasionekane wako nyuma ya Urusi...