Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Yaani kiwe kitu kizuri au kibaya, lazima USA iwe pale on top.ukweli mchungu.
Ukitaja nchi 20 zinazoongoza dunian kwenye kitu chochote. bas USa utakutanana nae kwenye top 10 ya hii list yako.
narudia kitu chochote. kizuri lakini.