Nchi 32 za Ulaya, Marekani na Canada (NATO), Australia, Japan na Korea wanapambana na Urusi

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Russia apewe maua yake mpaka sasa kaonesha ni mwanaume zaidi ya mara 1.

Unapigana na Ulaya yote, US na Canada lakini bado hajatetereka zaidi anatoa ONYO kuwa yajayo hayatawafurahisha NATO.

Nadhani sasa umefika wakati wa nchi za Africa na zile zisizofungamana na upande wowote kumuunga mkono Urusi ili aweze kuwaangamiza mabeberu
 
Ila hii vita itam cost sana Russia trust me just few moments to come... Athari atakazozipata zinaweza kumpoteza kabisa katika List ya Mataifa yenye nguvu duniani na hii yote ni baada ya yeye kushindwa kumaliza vita siku za mwanzoni alipokuwa na nafasi ya kufanya hivo
 
Screenshot_20240403-213954.png
 
Ila hii vita itam cost sana Russia trust me just few moments to come... Athari atakazozipata zinaweza kumpoteza kabisa katika List ya Mataifa yenye nguvu duniani na hii yote ni baada ya yeye kushindwa kumaliza vita siku za mwanzoni alipokuwa na nafasi ya kufanya hivo
Ulivyotia na hako ka lugha kakigeni ukajiona boonges la mchafuzi
Haya tupe muda mpaka kufikia lini itakua hivyo
Nato na G7 wa jf mnateseka sana aseee
 
Exactly I agree that Russia failed from the time when they failed to avoid the war of attrition something that has made the victory to hang in balance for the both sides.
 
Russia apewe maua yake mpaka sasa kaonesha ni mwanaume zaidi ya mara 1.

Unapigana na Ulaya yote, US na Canada lakini bado hajatetereka zaidi anatoa ONYO kuwa yajayo hayatawafurahisha NATO.

Nadhani sasa umefika wakati wa nchi za Africa na zile zisizofungamana na upande wowote kumuunga mkono Urusi ili aweze kuwaangamiza mabeberu
Unamuangamiza kwa kutumia iOS na Android
Vua chupi ulale
 
Russia apewe maua yake mpaka sasa kaonesha ni mwanaume zaidi ya mara 1.

Unapigana na Ulaya yote, US na Canada lakini bado hajatetereka zaidi anatoa ONYO kuwa yajayo hayatawafurahisha NATO.

Nadhani sasa umefika wakati wa nchi za Africa na zile zisizofungamana na upande wowote kumuunga mkono Urusi ili aweze kuwaangamiza mabeberu
Swali; kama hawa wote wakiingia kwenye full scale war, Russia atatoboa?
 
Back
Top Bottom