Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hungary
Belarus
Slovakia
Nato wote wanazidiwa nguvu na mataifa sitaHungary
Belarus
Slovakia
Ulivyotia na hako ka lugha kakigeni ukajiona boonges la mchafuziIla hii vita itam cost sana Russia trust me just few moments to come... Athari atakazozipata zinaweza kumpoteza kabisa katika List ya Mataifa yenye nguvu duniani na hii yote ni baada ya yeye kushindwa kumaliza vita siku za mwanzoni alipokuwa na nafasi ya kufanya hivo
Unamuangamiza kwa kutumia iOS na AndroidRussia apewe maua yake mpaka sasa kaonesha ni mwanaume zaidi ya mara 1.
Unapigana na Ulaya yote, US na Canada lakini bado hajatetereka zaidi anatoa ONYO kuwa yajayo hayatawafurahisha NATO.
Nadhani sasa umefika wakati wa nchi za Africa na zile zisizofungamana na upande wowote kumuunga mkono Urusi ili aweze kuwaangamiza mabeberu
Mpwawe Zelensky nilitaka kushangaa hapa upite hivi hivi,,,Russia anapambana na Ukraine,acheni kujitoa akili!
Swali; kama hawa wote wakiingia kwenye full scale war, Russia atatoboa?Russia apewe maua yake mpaka sasa kaonesha ni mwanaume zaidi ya mara 1.