Nchi ambayo haijapata chanjo ya Corona inaweza kutengwa?

akili ndogo tu inatosha kukupa jibu. Polio inachanjo moja,hiyo ndui inachanjo moja,lakini pia utafiti ulifanyika kwa muda mrefu wa hizo chanjo ndio maana wakakubaliana baada ya kujieidhisha kwa kina juu ya ufanisi wa hizo chanjo,hawakuwa na haja ya kuja na lundo la chanjo kwa case moja. CHANJO NI KIRUSI AMBACHO KINAFENGENEZWA KU FIGHT KIRUSI HASIMU MWILINI,sasa ukikitengeneza kwa kubahatisha lazima kitakufurahisha tu...Corona ni ugonjwa wa corony aina moja ya virus ,hivyo Ni case moja why wanakuja na lundo la chanjo kwa case moja???? jibu hawana uhakika na chanjo ipi itatoa majibu positive.... Concluding;bado wapo kwenye trial and error.
Quation....kwenye trial and error tegemea madhara makubwa kwa sababu upo kujaribu kupata suluhisho.
Over
Chanjo hazifanyi kazi hivyo. Yaani kirusi kikapambane na kirusi!.
kuna njia nyingi ya kutengeneza chanjo. Njia ya kwanza ni kutumia kirusi kilichokufa. Mfano, wanachukua kirusi cha korona kilichokufa na kumchoma mtu. Kinga ya mtu itaona kuna kitu kigeni, itapambana nacho. Siku ikikutana na kirusi hai inakuwa imejua jinsi ya kupambana nacho.

Njia nyingine ni kutumia kirusi kilichopunguzwa nguvu, mfano unapunguza nguvu kirusi cha korona na kumchoma mtu, kinga itapambana nacho, siku ikikutana na chenyewe inakuwa inajua nini cha kufanya.

Aina ya tatu ni kuchukua sehemu ya kirusi, mfano unaweza kuchukua ile miiba ya kirusi cha korona na kumchoma mtu. Kinga ya mwili ikireact inakuwa imeshajifunza namna ya kupambana na kirusi cha korona. Zipo njia nyingi na ndiyo sababu kuna kinga nyingi.
Hata hizi kinga tunazochomwa zipo za aina nyingi. Ukijua jinsi kinga inavyofanya kazi hakuna haja ya kuogopa.
 
Iko hivi wakuu. Virusi vikipata mazingira mazuri huwa vinabadilika kila leo. Kubadilika huko kunaweza toa kirusi kikali kisichosikia dawa wala chanjo.

Hizi chanjo zimetengenezwa kuzuia kirusi kwa namna kiliyopo sasa. Kinaweza kubadilika na kufanya chanjo hiyo isifanye kazi au ikafanya kwa ufanisi mdogo sana.

Sasa watu wasio kuwa na chanjo ni mazalia ya virusi hivi na ni kiwanda cha virusi kubadilika na kutoa aina mpya. Naona kuwa watu hawa watazuiwa kwenda nchi nyingine kwa sababu wanaweza wapelekea wengine strains ambazo hazisikii dawa. Pia watu hata waliopata chanjo wataogopa kutembelea nchi hizi kwa sababu ya kuogopa kukumbana na strains kali za virusi.

Nyinyi mnaonaje, kuna uwezekano wa nchi ambazo hazijapata chanjo au kuna coverage ndogo ya chanjo kutengwa?
Hivi huwa mnadanganya kwa maslahi ya nani? kama watu hawajachanja ndo wanakuwa more susceptible to infection, hivyo virusi havitumii jitihada kubwa kuambukiza na kuzaliana. Virusi wata-mutate iwapo watakutana na upinzani, mfano kinga iliyotokana na chanjo au kinga iliyotokana na mtu kuambukizwa na kupona au kama dawa (antiviral drugs) zitatumika kutibu.....sasa unavotuambia kwamba chanjo haziwezi ku-drive mutations tunakuwa hatukuelewi. Siyo lazima kila mtu aandike mambo ya kitaalamu ambayo hajasomea ili mradi aonekane na yeye kaleta uzi....
 
Kama utakuwa umechanjwa maana yake utakuwa na kinga na virus haviwezi kuzaliana ndani yako. Na kama havizaliani basi haviwezi kumutate. Uksipochanjwa au msipochanjwa maana yake virus vitakuwa vinazaliana kwa fujo. Hapo mtakuwa shamba la mutation.
 
Nani aliyekwambia hizo mnazoita chanjo zinazuia virusi kuambukiza na kuzaliana, vipi kama asilimia kubwa ya watu walishaambukizwa wakapata herd immunity. Msijaribu kumeza kila kitu ambacho wazungu wanajaribu kuwaaminisha, jaribu kutumia akili yako au kuongeza uelewa wako wa mambo na reasoning.
 
Kusema watu wajenge herd immunity maana yake wale wote ambao wako vulnerable Wafe. Herd immunity ndiyo inajengwa hivyo kifupi ni survival of the fittest. Unataka hivyo? Kwanza unafikiri inachukua muda gani kujenga hiyo kitu, ndui ingechukua muda gani?

Virusi vinazaliana ndani ya host/ binadamu sasa kutumia chanjo ni kama kuharibu mazalio ya virusi.
 
Hizo wanazoita chanjo hazitoi life-long immunity kama hiyo ndui unayosema, which means utahitaji booster kila baada ya miezi 6, hiyo ni biashara nzuri sana kwa watengezaji wa hiyo chanjo, on the other hand huwezi kutumia kila bindamu duniani kama panya wa majaribio kwa chanjo ambayo bado ipo kwenye utafiti, na mbaya zaidi hayo makampuni ya chanjo hawajabeba uwajibikaji wowote kwa vifo au madhara ya muda mfupi na muda mrefu yatakayosababishwa na hiyo chanjo ya majaribio, maana kila mtu ni kama analazimishwa kudungwa hiyo chanjo bila ridhaa wala kulipwa chochote kwa kushiriki kwenye majaribio ya chanjo.
 
Imenisikitisha hapo kwenye makampuni hayajabeba uwajibikaji yaani maana yake,
Madhara yeyote yale yatakayo kupata si juu yako.
 
Iko hivi wakuu. Virusi vikipata mazingira mazuri huwa vinabadilika kila leo. Kubadilika huko kunaweza toa kirusi kikali kisichosikia dawa wala chanjo.

Hizi chanjo zimetengenezwa kuzuia kirusi kwa namna kiliyopo sasa. Kinaweza kubadilika na kufanya chanjo hiyo isifanye kazi au ikafanya kwa ufanisi mdogo sana.

Sasa watu wasio kuwa na chanjo ni mazalia ya virusi hivi na ni kiwanda cha virusi kubadilika na kutoa aina mpya. Naona kuwa watu hawa watazuiwa kwenda nchi nyingine kwa sababu wanaweza wapelekea wengine strains ambazo hazisikii dawa. Pia watu hata waliopata chanjo wataogopa kutembelea nchi hizi kwa sababu ya kuogopa kukumbana na strains kali za virusi.

Nyinyi mnaonaje, kuna uwezekano wa nchi ambazo hazijapata chanjo au kuna coverage ndogo ya chanjo kutengwa?
 
Hizo chanjo ulizo orodhesha hapo, wenda ndio chanzo cha mfumuko wa mashoga duniani.

Kipindi nikiwa makuzi (dogo janja) miaka ya tisini kushuka chini, mashoga walikua wakuwatafuta kwa tochi, tofauti na hivi sasa, kila mtaa kuna ***** wake.

Napinga chanjo kwa nguvu zote.
Unaijua polio? Jiulize bila chanjo ingekuaje
 
Wageuke mazombi kwa sababu gani? Mbona watoto wachanga hadi leo hii wanachomwa chanjo ya polio na hawabadiliki kuwa mazombi? Watanzania waliochomwa chanjo nyingine maarufu kama vile chanjo ya ndui walibadilika kuwa mazombi?

Wewe chanjo ulizowahi kuchomwa zimekubadilisha kuwa Zombi? Wewe ni Zombi sasa hivi kutokana na chanjo kadhaa ulizowahi kuchomwa? Unaongea kama mtoto mdogo alievaa pampas!
Tena Pampas ilojaa mkojo hahahahaha
 
Back
Top Bottom