Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wasalaam nyote,
Inapotokea nchi baadhi zina demokrasia hafifu na jeshi lisilo na meno wala utisho, wala hakuna supreme organ ya kuinyosha ikulu basi wanasiasa hata wapesi kama manyoya wanajifanyia watakavyo, ni hatari sana kwa ustawi wa mataifa husika.
Triple S, yaani strategic state security inachezewa na majeshi ya Nchi husika yanakaa kimya, maeneo muhimu ya ulinzi wa Taifa si tu kujaribiwa bali hata uthubutu ikulu haipaswi kuwa huru kiasi hicho, ni hatari sana endapo siasa ikijaa mamluki wanaoweza kupanda mbegu za kuangusha amani na misingi ya taifa.
Ifike pahala kuwe na maeneo msingi ambayo majeshi ya Nchi husika yaweke fensi ya mambo msingi wanasiasa hawapaswi kuyagusa kwa namna yoyote ile.
Kwa aina hii ya majeshi ambayo hayana sauti kwenye mambo hatarishi yanayofanywa kipumbavu na wanasiasa na kuhatarisha Umoja na amani ya Nchi ni hatari sana.
Naleta ujumbe kwenu nyote mkiacha Marais wa nchi zenu wakajitawale kupitiliza hadi wanavembewa ndio kwisha kwa Taifa husika.
Shukrani 🙏🙏🙏
Wadiz