jamani me nataka kuanza biashara kufanya biashara hiyo lakin naomba mniambie ni wap kuna soko zuri kwa hiyo bznec!ntashukuru mkinijibu
- Mkuu biashara ya kutageti faida si biashara na ikiingia kwenye biashara kwa kutageti kupata faida hutaweza kukaaa muda mrefu,
- Kuhusu biashara ya mahindi, nazani kuna thread nyingi sana zinazungumzia hii biashara na usahauri kibao umetolewa.
- IMEFIKA WAKATI WA KUFANYA BAISHARA YENYE TIJA NA SI KUFANYA BIASHARA YA WAKATI WA KABLA YA INDUSTRY REVULUTION,
- Mkuu ni kwa nini uuze mahindi na si unga? hivi unafikilia ukiuuza mahindi ni nana anakuwa amefaidi hapo? je ni wewe? je ni ukliye muuzia?
-Jaribu kuplani hii biashara vizuri lakini utageti kwenye kuwa na kiwanda chako kidogo cha kusaga nafaka na kuzipark, hapo utakuwa unafanya biashara yenye tija, ila hii ya kununua mahindi na kuyauza kama yalivyo inahitaji utapeli fulani
- ili ufanikiwe kuuza mahindi nin lazima wakati wa kununua uwanyonge wakulima,
- Ni lazima uchanganye mahindi mazuri na mabovu
ILA UKIWA UNAFANYA PROCESSING INAKUWA VIZURI KWA SABABU UNAKUWA NA PUMBA PAMOJA NA UNGA