Nchi gani inaongoza kwa wizi duniani?Soma hapa;.

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,317
Marekani wakagundua kifaa cha kugundua wezi. Kikapelekwa Ufaransa ndani ya dk 15 kikabaini wezi 50. China dk 35 wezi 60.Brazili kwa saa 1 ikabaini wezi 150. Sasa kikafika bongo ndani ya dakika 5 tu ikaibiwa mashine yenyewe na haikupatikana tena.Nchi gani inaongoza kwa wizi?
 

Hii story mpaka sasa bado ipo mitandaoni?
Zilipendwa hizi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…