JPM ndiyo alikuwa Mwanzilishi wa kucapture siku hii na kuifanya Mahakama iwe chini ya mihimili yote. Yaani nikiona hivi ninashikwa hasira sana. Ninawakumbuka akina Jaji Nyalali na angalau Samata! Yaani, sijui tumelogwa na nani hadi kufuata mfumo usiokuwepo duniani?