Juma Juma Ibrahim, nimekuita mara mbili, jitafakari! Shame on you!JPM ndiyo alikuwa Mwanzilishi wa kucapture siku hii na kuifanya Mahakama iwe chini ya mihimili yote. Yaani nikiona hivi ninashikwa hasira sana. Ninawakumbuka akina Jaji Nyalali na angalau Samata! Yaani, sijui tumelogwa na nani hadi kufuata mfumo usiokuwepo duniani?
Kaka umechafukwa[emoji23]Juma Juma Ibrahim, nimekuita mara mbili, jitafakari! Shame on you!
Kama uchaguzi wa spika mshindani anapata kura zote za ndio kwa idadi ya wabunge bila kujali absentees basi tambua magugu ni mengi sanaJPM ndiyo alikuwa Mwanzilishi wa kucapture siku hii na kuifanya Mahakama iwe chini ya mihimili yote. Yaani nikiona hivi ninashikwa hasira sana. Ninawakumbuka akina Jaji Nyalali na angalau Samata! Yaani, sijui tumelogwa na nani hadi kufuata mfumo usiokuwepo duniani?
Sio angalau samatta ila SEMA kuwa huyu ndo aliikataa mfumo wa mgeni radmi awe RaisiJPM ndiyo alikuwa Mwanzilishi wa kucapture siku hii na kuifanya Mahakama iwe chini ya mihimili yote. Yaani nikiona hivi ninashikwa hasira sana. Ninawakumbuka akina Jaji Nyalali na angalau Samata! Yaani, sijui tumelogwa na nani hadi kufuata mfumo usiokuwepo duniani?
Good!Sio angalau samatta ila SEMA kuwa huyu ndo aliikataa mfumo wa mgeni radmi awe Raisi