LAHA ni kitu gani?
Disemba ni muda wa baridi northern hemisphere we nenda Amerika kusini, Carribean, Au Asia, Serengeti, Ruaha, Selous, Udzungwa nkNawatakia wiki end njema membaz wote jf.
Ifikapo December 2018 napata likizo kubwa.na boss wangu kaniambia changua utanaka kwenda ukapumzike nchi gani.kiukweli nimekosa jibu la haraka nikamuomba anipe mda nifikiri wapi patanifaa. Kupitia wakuu wa humu ndani naimani nitapata sehemu sahihi ya kwenda kula laha.
Asante
Alafu akikaa week akirudi TZ abaki kukuna pumbu?Nenda hapo Bahamas ama Hawaii utafurah..weka budget ya $20000 tuu
Si ametaka kwenda kula 'laha' lazima ajiandaeAlafu akikaa week akirudi TZ abaki kukuna pumbu?