Nchi gani nzuri ya kwenda kupumzika na kula raha za dunia

Nchi gani nzuri ya kwenda kupumzika na kula raha za dunia

Ukweli ni kwamba Tanzania humu humu kuna tourist na adventurous attractions kibao.
Mleta uzi angeanzia ma utalii wa ndani.
True, hakuna haja ya kutumia pesa nyingi kutafuta sehemu ya kwenda nje ya nchi, wakati hapa kuna vivutio vingi na bei ya mwananchi, ajaribu kutembelea tour operator kwa ushauri na budget estimation
 
Nawatakia wiki end njema membaz wote jf.
Ifikapo December 2018 napata likizo kubwa.na boss wangu kaniambia changua utanaka kwenda ukapumzike nchi gani.kiukweli nimekosa jibu la haraka nikamuomba anipe mda nifikiri wapi patanifaa. Kupitia wakuu wa humu ndani naimani nitapata sehemu sahihi ya kwenda kula laha.
Asante
Nenda Kisiwani MALDIVE
 
Ukitaka ukaoshe macho na kuona wenzetu walivyogeuza teknolojia kuwa starehe nenda Dubai na ufaransa lakini kama shida yako ni kuangalia wanyama bongo mapori ni mengi sana Tembelea mbuga za wanyama Serengeti,Ngorongoro,Katavi n.k
 
Back
Top Bottom