Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Ebu tafadhali ukuje kule penye tunaongeaga lugha moja tafadhali na kama hauto jaliHhaha!, sawa bwana. Wewe wasema lakini..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu tafadhali ukuje kule penye tunaongeaga lugha moja tafadhali na kama hauto jaliHhaha!, sawa bwana. Wewe wasema lakini..
"kinakela" ndio nini mkuu , naona unakosoa kumbe ndio walewale.Kiswahili chako 'kinakela'
Kumbe huna siri wewe.Boss....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiongozi wangu kwa elimu kidogo tu ya undercover detective niliyonayo mkuu wewe hukuwa guest tu mkuu wangu.
Kama umekataa kuisema ID yako ya zamani mkuu wangu ni sawa maana ni privacy yako.
Nilitaka ku settle mambo tu nisije nikatongoza tena ambapo nilishapigwa kibuti. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nimeiweka makusudi"kinakela" ndio nini mkuu , naona unakosoa kumbe ndio walewale.
Ebu tafadhali ukuje kule penye tunaongeaga lugha moja tafadhali na kama hauto jali
Njoo huku Ibiza nitakuw mwenyej wakoNawatakia wiki end njema membaz wote jf.
Ifikapo December 2018 napata likizo kubwa.na boss wangu kaniambia changua utanaka kwenda ukapumzike nchi gani.kiukweli nimekosa jibu la haraka nikamuomba anipe mda nifikiri wapi patanifaa. Kupitia wakuu wa humu ndani naimani nitapata sehemu sahihi ya kwenda kula laha.
Asante