Nchi gani nzuri ya kwenda kupumzika na kula raha za dunia

Nchi gani nzuri ya kwenda kupumzika na kula raha za dunia

Ibiza... Miami au Paris[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Dah...nimezunguka mabara yote....amerika ya kusini....kapate vitu vya motomoto...hutajuta...[emoji41]
 
Nawatakia wiki end njema membaz wote jf.
Ifikapo December 2018 napata likizo kubwa.na boss wangu kaniambia changua utanaka kwenda ukapumzike nchi gani.kiukweli nimekosa jibu la haraka nikamuomba anipe mda nifikiri wapi patanifaa. Kupitia wakuu wa humu ndani naimani nitapata sehemu sahihi ya kwenda kula laha.
Asante
Nenda kale RAHA Brunei.
 
watu mna wivu,kama hujui sehemu ya kumpumzikia si unyamaze tu...mnh 🙄😳😳😳😳
 
Back
Top Bottom