Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
😀😀😀😀 kwetu huko bwana we!mm mwenyewe basha😉Ulipelekwa na basha wako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀 kwetu huko bwana we!mm mwenyewe basha😉Ulipelekwa na basha wako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulipelekwa na basha wako?
Toa picha hiyo huwezi ukajiita basha wakati umeweka mapaja hayo😀😀😀😀 kwetu huko bwana we!mm mwenyewe basha😉
😳😳😳 si ya shemej yakoToa picha hiyo huwezi ukajiita basha wakati umeweka mapaja hayo
aende na visiwani Puerto rica ,Hawaii...France (Paris )
Yeye mgonjwa wa mapaja tu...[emoji3] [emoji3]😳😳😳 si ya shemej yako
We toa kaweke Insta au Facebook,😳😳😳 si ya shemej yako
Nenda kale RAHA Brunei.Nawatakia wiki end njema membaz wote jf.
Ifikapo December 2018 napata likizo kubwa.na boss wangu kaniambia changua utanaka kwenda ukapumzike nchi gani.kiukweli nimekosa jibu la haraka nikamuomba anipe mda nifikiri wapi patanifaa. Kupitia wakuu wa humu ndani naimani nitapata sehemu sahihi ya kwenda kula laha.
Asante
Kwa hela ipi hii ya madafu...[emoji3]Nenda kale RAHA Brunei.
Dah...nimefika Syria na Jordan.Syria
Inaonekana mshiko hupo ndio maana hakusema bajeti yake.Kwa hela ipi hii ya madafu...[emoji3]
Mbwembwe tu jamvini JF mkuu...mwenye hela hapayuki[emoji28]Inaonekana mshiko hupo ndio maana hakusema bajeti yake.